Kejeli siku zote zipo, na wala hakuna nchi yoyote duniani ambayo haina
wakejeli. Tanzania tunao watu wanaokejeli juhudi zetu za kujenga jamii
yenye usawa. Tulikuwanao, tunao, na tunaendelea kuwa nao.
-Julius Kambarage Nyerere - Octoba 22, 1987
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment