Maneno haya aliyasema muigizai huyo mkongwe wa filamu za kitanzania, kimsingi ni msimamo mzuri na utasaidia kiasi fulani kuutangaza utamaduni wetu wa kiafrika. Haya sasa nawaachia nyie wadau wa blog yetu ya nukuu unamaoni gani kuhusiana na kauli hii ya rich.Chanzo: HabariLeo Nov 16
Single mtambalike
"Filamu za kuonesha magari na majumba ya kifahari, sasa basi"
Labels:
RichRich
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment