.

Home » » Dk. Emmanuel Nchimbi

Dk. Emmanuel Nchimbi

"Soka yetu inaumwa kwa hiyo vijana wadogo ni tiba kubwa ya soka yetu, tuwekeze kwao" - Dk Emmanuel Nchimbi

Mheshimiwa Nchimbi aliwahi kusema hiyo kauli siku moja katika harakati zake kipindi alipokua waziri wa habari na michezo...vipi watanzania mnasemaje? Je hiyo kauli inatekelezwa na viongozi na wadau wetu wa soka? Sema chochote hapo chini.
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Maskolis | Johny Portal | Johny Magazine | Johny News | Johny Demosite
Copyright © 2011. NANUKUU - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website Inspired Wordpress Hack
Proudly powered by Blogger