.

Mh Kassim Majaliwa

Wednesday, October 10, 2018


“.................., Nataka niwaambie kwamba tulipata shida mwaka 2015 kwenye uchaguzi, tukapata kura kiduchu na waliosababisha ni watumishi wa umma,”

~Waziri Mkuu Mh Kassim Majaaliwa

Akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Wilaya katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa shule ya msingi Rweikiza mjini Bukoba, Majaliwa alisema CCM ilitaka kuangushwa na baadhi ya watumishi wa umma jambo alilosema lilishindikana na halitawezekana tena.
Source: Mwananchi.co.tz
Continue Reading | comments

Ali Kiba


” Sijashuka kimuziki ningekuwa nimeshuka basi wasingeniingiza kwenye hizo tuzo zao za Afrimma,halafu mimi sifanyi muziki ajili ya tuzo mimi pesa zangu nafanya kwa kuuza muziki wangu na kufanya Show,kwahiyo tuzo sizitilii maanani sana”
~Ali Kiba

Source: Bongo5.com
Continue Reading | comments

Mch Peter Msigwa

Tuesday, October 9, 2018

"Viongozi wanaopita barabarani na kuwagawia hela wao sio viongozi ni wapumbavu, kwasababu kiongozi mzuri ni yule anayekufundisha kupata hela na sio kukugawia hela"

~Mchungaji Peter Msigwa (MB)

Maneno ya mbunge wa Iringa mjini Mh Mchungaji Peter Msigwa akiyatoa wakati akihutubia wananchi wake huko Iringa na kusababisha kupewa zuio na Polisi jijini humo.

Source: Jamii Forum
Continue Reading | comments

Godbless Lema

Sunday, October 7, 2018

“Nimepata maono, nimeona viongozi wa dini, mashekhe na maaskofu wakichomwa moto wa jehanamu, nikamuuliza Mungu kwanini, mbona hawa wanachomwa moto, akanijibu kwa sababu ya dhambi ya woga,”

~Godbless Lema

Source: Jamiiforums
Continue Reading | comments

Njelu Kasaka

“Kwanza kuna kitu kinaitwa election fatigue (uchovu unaotokana na uchaguzi). Watu wameshazoea kuwa uchaguzi ni baada ya miaka mitano, lakini (hivi sasa) kila baada ya mwezi uchaguzi,”

“Sababu ya pili ni sababu zenyewe za uchaguzi. Kama watu walishachagua chama na mtu waliyemuamini wanasubiri tena miaka mitano au labda kitokee kifo. Lakini mtu anahama chama hiki na kwenda huku na kupitishwa kugombea, wapigakura wanaona ni usaliti.”

Huyo  kada wa zamani wa CCM, Njelu Kasaka akizungumzia kauli ya Dk Bashiru akiainisha sababu kadhaa za kupungua kwa hamasa ya wapigakura ni kuchoshwa na uwingi wa chaguzi.

Source: Gazeti la Mwananchi
Continue Reading | comments

Mh Ali Hassan mwinyi

Thursday, October 4, 2018

"Leo nina miaka karibu 94, sina siku nyingi za kuiacha dunia, sitaki niende huko ninakokwenda na aibu nyuma yangu"

Maneno ya Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Mh Ali Hassan Mwinyi.
Continue Reading | comments

Mh Wilbroad Slaa

Tuesday, February 6, 2018

"Mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa nchini".

~Mh Wilbroad Peter Slaa
Continue Reading | comments

Tangaza hapa

Tangaza hapa

Burudani

Zinakuja..

Habari za Ulimwengu

zinakuja..
NukuuTz-2012. Powered by Blogger.
 
Support : Creating Website | Johny Template | Maskolis | Johny Portal | Johny Magazine | Johny News | Johny Demosite
Copyright © 2011. NANUKUU - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website Inspired Wordpress Hack
Proudly powered by Blogger