Wednesday, October 10, 2018
“.................., Nataka niwaambie kwamba tulipata shida mwaka 2015 kwenye uchaguzi, tukapata kura kiduchu na waliosababisha ni watumishi wa umma,”
~Waziri Mkuu Mh Kassim Majaaliwa
Akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Wilaya katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa shule ya msingi Rweikiza mjini Bukoba, Majaliwa alisema CCM ilitaka kuangushwa na baadhi ya watumishi wa umma jambo alilosema lilishindikana na halitawezekana tena.
Source: Mwananchi.co.tz