.

Home » » Njelu Kasaka

Njelu Kasaka

“Kwanza kuna kitu kinaitwa election fatigue (uchovu unaotokana na uchaguzi). Watu wameshazoea kuwa uchaguzi ni baada ya miaka mitano, lakini (hivi sasa) kila baada ya mwezi uchaguzi,”

“Sababu ya pili ni sababu zenyewe za uchaguzi. Kama watu walishachagua chama na mtu waliyemuamini wanasubiri tena miaka mitano au labda kitokee kifo. Lakini mtu anahama chama hiki na kwenda huku na kupitishwa kugombea, wapigakura wanaona ni usaliti.”

Huyo  kada wa zamani wa CCM, Njelu Kasaka akizungumzia kauli ya Dk Bashiru akiainisha sababu kadhaa za kupungua kwa hamasa ya wapigakura ni kuchoshwa na uwingi wa chaguzi.

Source: Gazeti la Mwananchi
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Maskolis | Johny Portal | Johny Magazine | Johny News | Johny Demosite
Copyright © 2011. NANUKUU - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website Inspired Wordpress Hack
Proudly powered by Blogger