.

Mh Simbachawene,

Monday, November 25, 2013

"...kama mtu ataona kwamba gharama za umeme ni kubwa, basi akawashe kibatari au akae gizani."

--Mh Simbachawene

Source: Kumepambazuka, Radio One.
Continue Reading | comments

Ray C

Tuesday, November 19, 2013

"8/11/2013 ni siku muhimu sana kwangu Asante Mh Raisi Jakaya Kikwete...Milele ubarikiwe kwa kunisaidia kunileta kitengo hiki na kutuletea watanzania hii dawa ya Methadone Tanzania...We love you"

"....Tanzania bila madawa ya kulevya inawezekana. Hujui lini yatakutokea mami usihukumu wala kudharau mtu katika maisha yako kwani wewe huna mkataba na mungu wala hii dunia si yako omba sana usije pata mtihani mgumu zaidi ya sisi wenzako"

Chanzo cha nukuu: http://www.bongo5.com/picha-ray-c-asheherekea-na-waliokuwa-waathirika-wa-dawa-za-kulevya-mwaka-1-tangu-aachane-nazo-11-2013/


Kama wewe ni shabiki wa Ray C una maoni gani kuhusu kauli ya Ray C...changia hapa
Continue Reading | comments

Single mtambalike

"Filamu za kuonesha magari na majumba ya kifahari, sasa basi"

Chanzo: HabariLeo Nov 16
Maneno haya aliyasema muigizai huyo mkongwe wa filamu za kitanzania, kimsingi ni msimamo mzuri na utasaidia kiasi fulani kuutangaza utamaduni wetu wa kiafrika. Haya sasa nawaachia nyie wadau wa blog yetu ya nukuu unamaoni gani kuhusiana na kauli hii ya rich.
Continue Reading | comments

Pius Msekwa

Friday, February 15, 2013

"Acheni wivu wa kike" --Pius Msekwa
Continue Reading | comments

Freeman Aikaeli Mbowe

"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
Continue Reading | comments

King Majuto

Friday, February 1, 2013

"Hatuna thamani hivyo nimeona bora nikavue samaki na kuendeleza shughuli za kilimo katika shamba langu" -King Majuto


Hebu tujikumbushe hii kauli ya Mchekeshaji asie na mpinzani hapa Tanzania...King majuto, hii ndo kusema ameacha Sanaa hii iliyompatia umaarufu ama?? Hebu Zungumza unachohisi.
Continue Reading | comments

Mr Blue

"Sababu kubwa ni kwamba nimekaa chini na kugundua kuwa pombe zinanipoteza pia nimefuata ushauri wa wazazi wangu waliokuwa wakinihubiria kila siku kuepukana na ulabu, ndugu na marafiki naokwa kiasi kikubwa wamenibadilisha"  -Mr blue


Haya watanzania,hayo ni maneno ya msanii mahiri wa muziki wa Bongo flava aliyowahi kuyasema kipindi fulani hapo nyuma...Je wewe unalipi la kutuambia juu ya kauli hiyo?? Ongea chochote!


Continue Reading | comments

Q-Chilla

"Maisha magumu yalichangia niwe TEJA"
"Sasa hivi nafanya muziki lakini nipo kimataifa zaidi, kwani wanamuziki wengi nchini uhishia kusikika nchini" -Q-Chilla


Kauli hii mwanamuziki Abubakari katwila al maarufu ''Q-chilla" aliitoa siku chache baada ya kutangaza kwa jamii na mashabiki wake kuacha kutumia madawa ya kulevya aliyodumu kuyatumia takribani miaka miwili.
Wewe kama mdau wa muziki wa bongofleva na shabiki wa Q CHILLA unaizungumziaje kauli hiyo?
Continue Reading | comments

Polycarp Kadinali Pengo

Wednesday, January 23, 2013

Baadhi yetu mapadri duniani tumefanya vitu ambavyo ni ishara ya dhambi katika ngazi ya juu kabisa. Wengine wameshitakiwa kwa kubaka, lakini kuwaruhusu mapadri kuoa si suluhishi la vitendo viovu; kwa kuwa hata wana taaluma wengine wamekuwa wakisikika kushiriki vitendo hivyo lilcha ya kuwa ni watu wenye wake zao.
-Kardinali Polycarp Pengo
Continue Reading | comments

Mwalimu J.K Nyerere

Kejeli siku zote zipo, na wala hakuna nchi yoyote duniani ambayo haina wakejeli. Tanzania tunao watu wanaokejeli juhudi zetu za kujenga jamii yenye usawa. Tulikuwanao, tunao, na tunaendelea kuwa nao.

-Julius Kambarage Nyerere - Octoba 22, 1987
Continue Reading | comments

Jokate Mwegelo

Wednesday, January 16, 2013

"Nimedhamiria kuleta mapinduzi, na kwa kuanza naleta aina tano za nywele ambazo ni Nayomi, Selita, Jokate, Myra na Dessy" - Jokate Mwegelo




Mwanadada anaefanya vizuri katika tasnia ya urembo hapa nyumbani kwetu Tanzania na nje kidogo ya mipaka yetu aliwahi kusema hayo maneno hapo juu, wewe kama mfuatiliaji unalipi la kusema kutokana na kauli yake hiyo? Je ataweza kuleta mapinduzi aliyoyadhamiria?
Continue Reading | comments

Kalala Junior

"Muziki ni kama KOTI, nalivaa lakini mwisho wa siku linakubana, huna budi kulivua na kubadilisha jingine" - Kalala Junior
Continue Reading | comments

Dk. Emmanuel Nchimbi

Monday, January 14, 2013

"Soka yetu inaumwa kwa hiyo vijana wadogo ni tiba kubwa ya soka yetu, tuwekeze kwao" - Dk Emmanuel Nchimbi

Continue Reading | comments

Jackline Wolper (Ilham)

"Mimi nitabaki kuwa muislam hadi kifo, siwezi kurudi kwenye ukristo kwani nilikua nikiupenda uislam" -Jackline Wolper au Ilham
Continue Reading | comments

Tangaza hapa

Tangaza hapa

Burudani

Zinakuja..

Habari za Ulimwengu

zinakuja..
NukuuTz-2012. Powered by Blogger.
 
Support : Creating Website | Johny Template | Maskolis | Johny Portal | Johny Magazine | Johny News | Johny Demosite
Copyright © 2011. NANUKUU - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website Inspired Wordpress Hack
Proudly powered by Blogger