.

Polycarp Kadinali Pengo

Wednesday, January 23, 2013

Baadhi yetu mapadri duniani tumefanya vitu ambavyo ni ishara ya dhambi katika ngazi ya juu kabisa. Wengine wameshitakiwa kwa kubaka, lakini kuwaruhusu mapadri kuoa si suluhishi la vitendo viovu; kwa kuwa hata wana taaluma wengine wamekuwa wakisikika kushiriki vitendo hivyo lilcha ya kuwa ni watu wenye wake zao.
-Kardinali Polycarp Pengo
Continue Reading | comments

Mwalimu J.K Nyerere

Kejeli siku zote zipo, na wala hakuna nchi yoyote duniani ambayo haina wakejeli. Tanzania tunao watu wanaokejeli juhudi zetu za kujenga jamii yenye usawa. Tulikuwanao, tunao, na tunaendelea kuwa nao.

-Julius Kambarage Nyerere - Octoba 22, 1987
Continue Reading | comments

Jokate Mwegelo

Wednesday, January 16, 2013

"Nimedhamiria kuleta mapinduzi, na kwa kuanza naleta aina tano za nywele ambazo ni Nayomi, Selita, Jokate, Myra na Dessy" - Jokate Mwegelo




Mwanadada anaefanya vizuri katika tasnia ya urembo hapa nyumbani kwetu Tanzania na nje kidogo ya mipaka yetu aliwahi kusema hayo maneno hapo juu, wewe kama mfuatiliaji unalipi la kusema kutokana na kauli yake hiyo? Je ataweza kuleta mapinduzi aliyoyadhamiria?
Continue Reading | comments

Kalala Junior

"Muziki ni kama KOTI, nalivaa lakini mwisho wa siku linakubana, huna budi kulivua na kubadilisha jingine" - Kalala Junior
Continue Reading | comments

Dk. Emmanuel Nchimbi

Monday, January 14, 2013

"Soka yetu inaumwa kwa hiyo vijana wadogo ni tiba kubwa ya soka yetu, tuwekeze kwao" - Dk Emmanuel Nchimbi

Continue Reading | comments

Jackline Wolper (Ilham)

"Mimi nitabaki kuwa muislam hadi kifo, siwezi kurudi kwenye ukristo kwani nilikua nikiupenda uislam" -Jackline Wolper au Ilham
Continue Reading | comments

Tangaza hapa

Tangaza hapa

Burudani

Zinakuja..

Habari za Ulimwengu

zinakuja..
NukuuTz-2012. Powered by Blogger.
 
Support : Creating Website | Johny Template | Maskolis | Johny Portal | Johny Magazine | Johny News | Johny Demosite
Copyright © 2011. NANUKUU - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website Inspired Wordpress Hack
Proudly powered by Blogger